Nashauri Meya Boniface Jacob apewe Ulinzi

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
9,557
Reaction score
24,180
Habari Comrades,

Ninaomba wahusika wa CHADEMA wamuombee ulinzi wa kutosha Mstahiki Meya wa Ubungo Meya Boniface Jacob kufuatia kuanza kwa shauri lake dhidi ya Paul Makonda (Daudi Bashite) kuhusiana na uhalali wa Elimu ya RC huyo wa Dsm..

Hii ni kwasababu kumekuwa na taarifa za yeye Mstahiki Meya Jacob kuombwa mara kadhaa suluhu nje ya Mahakama/nje ya Tume ya Maadili kuliondoa shauri hili na pia kumetajwa kutumika kwa pesa kwenye hili lakini Meya Jacob amekataa.

Sote tunakumbuka jinsi suala hili la Elimu ya RC huyu lilivyotikisa Nchi siku za nyuma na ni vema sasa ukweli ujulikane.

Niwaombe wahusika ndani ya CHADEMA mumuombee ulinzi wa kutosha Meya Jacob hasa kipindi hiki na barua ya kumuombea ulinzi huo Polisi iwekwe HADHARANI.
 
Na ni muhimu pia yeye mwenyewe meya akawa na ulinzi binafsi na hidden cameras
 
Habari Comrades,

Ninaomba wahusika wa CHADEMA wamuombee ulinzi wa kutosha Mstahiki Meya wa Ubungo Meya Boniface Jacob kufuatia kuanza kwa shauri lake dhidi ya Paul Makonda (Daudi Bashite) kuhusiana na uhalali wa Elimu ya RC huyo wa Dsm..

Hii ni kwasababu kumekuwa na taarifa za yeye Mstahiki Meya Jacob kuombwa mara kadhaa suluhu nje ya Mahakama/nje ya Tume ya Maadili kuliondoa shauri hili na pia kumetajwa kutumika kwa pesa kwenye hili lakini Meya Jacob amekataa.

Sote tunakumbuka jinsi suala hili la Elimu ya RC huyu lilivyotikisa Nchi siku za nyuma na ni vema sasa ukweli ujulikane.

Niwaombe wahusika ndani ya CHADEMA mumuombee ulinzi wa kutosha Meya Jacob hasa kipindi hiki na barua ya kumuombea ulinzi huo Polisi iwekwe HADHARANI.
Huwa nasikia cdm wana red brigedi INA Kazi gani
 
NA SASA HAKUNA KUTIBIWA NJE!!!!!!
ILA NA HUYU AKILABULIWA TUTAPATA HESABU YA 1+1=11 NDO TUTAJUA KWA UHAKIKA KABISA HAWA WATU WASIOJULIKANA NI WAPI HASA....... MAANA NJE YA BOX WANAJULIKANA ILA WAKIMLABUA NA HUYU SASA TUTAFAHAMU VIZURI KABISAA
 
Hivi mtu unayehisiwa kwa kufanya maovu hata usingizi unalala kweli? Ni njozi gani unaota? Ni sauti ya roho ipi unasikia? Kuna sauti ya Mungu aliye hai na shetani! Unawaza nini wakati wote? Utakumbuka kama sote ni wapitaji chini ya jua?. Utakumbuka kuna hukumu itakayotolewa utakapouacha ulimwengu huu!?
 
Habari Comrades,

Ninaomba wahusika wa CHADEMA wamuombee ulinzi wa kutosha Mstahiki Meya wa Ubungo Meya Boniface Jacob kufuatia kuanza kwa shauri lake dhidi ya Paul Makonda (Daudi Bashite) kuhusiana na uhalali wa Elimu ya RC huyo wa Dsm..

Hii ni kwasababu kumekuwa na taarifa za yeye Mstahiki Meya Jacob kuombwa mara kadhaa suluhu nje ya Mahakama/nje ya Tume ya Maadili kuliondoa shauri hili na pia kumetajwa kutumika kwa pesa kwenye hili lakini Meya Jacob amekataa.

Sote tunakumbuka jinsi suala hili la Elimu ya RC huyu lilivyotikisa Nchi siku za nyuma na ni vema sasa ukweli ujulikane.

Niwaombe wahusika ndani ya CHADEMA mumuombee ulinzi wa kutosha Meya Jacob hasa kipindi hiki na barua ya kumuombea ulinzi huo Polisi iwekwe HADHARANI.

Ujinga uliopitiliza.Mkewe hatoshi kumlinda ?
 
Kweli kabisa Mkuu huyu uhai wake uko hatarini sana Bashite na kundi lake la wauaji bila shaka watakuwa wanamuwinda huyu.

Back
Top Bottom