Sio mahali ni mahari,muwe mnauliza wakubwa zenu huko kwanza kabla ya kukimbilia huku jf na kupost vitu visivyoeleweka.Wadau kama nilivyoelezea hapo juu kwanini mwanaume anapotoa mahali mbona wazazi wa mwanamke hawaendi TRA kulipia taxes nahisi hii itasaidia kuongeza mapato kwa serikali yetu
Mahali= mahari ,alafu wewe wapi hujui ata maana ya mahari tra inatokea wapi na wewe apo nawe unajiona great thinker!!!Wadau kama nilivyoelezea hapo juu kwanini mwanaume anapotoa mahali mbona wazazi wa mwanamke hawaendi TRA kulipia taxes nahisi hii itasaidia kuongeza mapato kwa serikali yetu
Hahahaa! Mkuu msamehe bure tu japo anajifanya kuwajibu mbovu wachangiaji wa thd yake,Mods nao wanafuta comment tu kwenye huu uzi?!!Mahali= mahari ,alafu wewe wapi hujui ata maana ya mahari tra inatokea wapi na wewe apo nawe unajiona great thinker!!!
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Duuh umetumwa nini mkuuWadau kama nilivyoelezea hapo juu kwanini mwanaume anapotoa mahari mbona wazazi wa mwanamke hawaendi TRA kulipia taxes nahisi hii itasaidia kuongeza mapato kwa serikali yetu