Nashauri Lowassa amuhakikishie Magufuli post ya Uwaziri mkuu

Nashauri Lowassa amuhakikishie Magufuli post ya Uwaziri mkuu

Nadhani lowasa ndie anayepaswa kupewa wizara hata isiyo na wizara maalum coz, Iko gonjwa
 
Magufuli kawapiga chenga ccm kaamu kugombea uwaziri wa ujenzi.
 
hakuna cha waziri mkuu wala waziri wa ujenzi.

Hapewi kitu labda apewe ukurugenzi wa tanroads, zaidi ya hapo aungane na wastaafu wengine.

lowasa hawezi kuwa rais kama unabisha tubeti,
mie naweka 10million .
 
Tatizo Watanzania wengi wetu wagumu kukubaliana na ukweli. Tunaweka ushabiki wa simba na yanga kwenye maisha yetu
na ww ni Mtanzania wa wapi?
kwa Mtoro Usandaweni? au Ovada
mgonjwa akampe mzee wa Push-up uwaziri Mkuu?
bado watu tuna maswali kichwani yaliyotokea Geita ww unaleta za kuleta
jibu hilo kwanza [QUOTE;14106447] ?????? hakujinyea aisee acha kulinganisha hizo[/QUOTE]
attachment.php
 
na ww ni Mtanzania wa wapi?
kwa Mtoro Usandaweni? au Ovada
mgonjwa akampe mzee wa Push-up uwaziri Mkuu?
bado watu tuna maswali kichwani yaliyotokea Geita ww unaleta za kuleta
jibu hilo kwanza [QUOTE;14106447] ?????? hakujinyea aisee acha kulinganisha hizo
attachment.php
[/QUOTE] mimi wa kwamtoro. kwani kombani na lowassa nani alikuwa anaonekana mgojwa. mbona amefall kuflash damu. wagojwa wapo wengi huko kwenu magamba. Sasa sumaye tunamuelewa aliposema mnaendaga kufanya nini ulaya. magamba kilicho waangusha kikubwa ni matusi, watu wanataka sera na sii matusi. Haya kajinyea, ila wayanzania wameamua na wanavigezo vyao. Magufuli ukweli kwa nafasi ya urais atoshi, anapwaya sana.
 
mimi wa kwamtoro. kwani kombani na lowassa nani alikuwa anaonekana mgojwa. mbona amefall kuflash damu. wagojwa wapo wengi huko kwenu magamba. Sasa sumaye tunamuelewa aliposema mnaendaga kufanya nini ulaya. magamba kilicho waangusha kikubwa ni matusi, watu wanataka sera na sii matusi. Haya kajinyea, ila wayanzania wameamua na wanavigezo vyao. Magufuli ukweli kwa nafasi ya urais atoshi, anapwaya sana.[/QUOTE]

Lowassa hasafishiki kamwe
 
Back
Top Bottom