Ni ushauri tu!
Nadhani kutakuwa na manufaa makubwa sana kwa nchi kuliko hata kwa CCM.
Joseph Pombe Magufuli anaonesha kuzidiwa na majukumu ya kiserikali! Kwa hulka JPM ni mchapakazi ambaye kwa bahati mbaya huwa ha-delegate
majukumu hivyo kujikuta katikati ya utendaji na usimamizi wa kila kitu.
Sasa akipewa na jukumu la kichama kuna hatari kubwa ya kofia hizi mbili kushindwa kutofautiana! Kutakuwa na shida ya kugawanya muda, kutakuwa na migongano ya kauli na matendo, mfano tu wa kauli yake ya mikutano ya siasa ni hadi 2020, sasa akiwa msemaji ni mwenyekiti wa chama cha siasa itakuwa ngumu kuwa na tija.
Tumpunguzie majukumu tu jamani!