Nashauri Dkt. Bashiru Ally ateuliwe balozi nje ya nchi

Mbegu ya uzalendo imshapandwa na hayo ndio matunda yenyewe.

Akimaliza huyo atakuja mwingine.

Watapewa ubalozi wangapi?

Hapa kinachotakiwa ni kuongoza nchi kwa maslahi ya Taifa na sio ya wachache, basi.
Uzalendo gani ? Wa kuuwa na kuteka watu?
 

Sahivi katulia tuli nasubiri pensheni ya ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…