jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,588
- 43,669
Snitch Bashiru hana faida kwa taifa akimaliza ubunge wa chamwino akalime ndizi kwao.
"Kama huna pesa mfukoni usiulize bei ya bidhaa maana huna pesa ya kulipia"
Kupata zero form six haimaanishi atashindwa kutambua mambo ya hovyo yafanywayo na hii awamu.maji,umeme na kila kitu kimevurugika haijawahi tokea tangu tupate uhuruHana Elimu huyo
Alipata zero form six Then akaingizwa chuo kikuu na kinyondo then akaingia chuo kikuu kuwa Mwalimu wa chuo kikuu
Mwambie hatutaki Maigizo atulie huyo mpuuzi Mwizi mkubwa wa kuraKupata zero form six haimaanishi atashindwa kutambua mambo ya hovyo yafanywayo na hii awamu.maji,umeme na kila kitu kimevurugika haijawahi tokea tangu tupate uhuru
Kwani wapi umeona nifanya ulinganifu Kati yangu na Bashiru ?Wewe punguani unajilinganisha na bashiru?
Umetumia kipimo gani kujua kuwa Bashiru anafaa kuwa balozi?Shalom.
Kutokana na hali inayoendelea sasa juu ya matamshi ya Dr.Bashiru ambaye alipata kuwa KMK na pia KM CCM taifa kuamua bila unafiki kusema hali halisi na kuuishi kanuni za TANU/CCM za kusema ukweli mtupu na kuukataa unafiki.
Tunajua ccm ya sasa ina allergy na ukweli halisi wa mambo hii nikwa kila awamu viongozi wanapenda mapambio na kusifiwa ndio furaha yao kamwe usijaribu kuanika weakness zao hasa mbele ya kuku wengi.
Tumeona mengi namewatokea hata ambao ni ccm kindaki ndaki pale tu walipojaribu kusema ukweli..yuko wapo Job,yuko wapi Pole n.k.
Kwakuwa Dr.Bashiru ni kiongozi aliyeitumikia hii nchi na kujua mengi sana ya hili Taifa.
Nivyema sana ateuliwe kuwa balozi nje ya nchi ili akalitumikie taifa huko kwa weredi.
#MaendeleoHayanaChama
Bashiru hana elimu? Senior lecturer UDSM unasema hana elimu? Wewe ni zaidi ya mpumbavuHana Elimu huyo
Alipata zero form six Then akaingizwa chuo kikuu na kinyondo then akaingia chuo kikuu kuwa Mwalimu wa chuo kikuu
Subirini ifike 2024 ndo mtaona moto wa JPM maana hata mabalozi watarudi kuungana na timu Magu kukabiliana na timu Pwani
Kabisa mkuu watu wanaongea tu vitu bila kutafakari kiundani na hayo ndio matokeo yake sasa.Bashiru hana elimu? Senior lecturer UDSM unasema hana elimu? Wewe ni zaidi ya mpumbavu
Humu jf Kuna wajinga na wapumbavu wengi sana sasa hivi
Upuuzi mtupuHana Elimu huyo
Alipata zero form six Then akaingizwa chuo kikuu na kinyondo then akaingia chuo kikuu kuwa Mwalimu wa chuo kikuu
Anayeupiga mwingi na elimu ya hapa na paleHana Elimu huyo
Alipata zero form six Then akaingizwa chuo kikuu na kinyondo then akaingia chuo kikuu kuwa Mwalimu wa chuo kikuu