Bora udhibiti ulevi mapemaUvumilivu muhimu wajameni,,gamond hana kosa
Mechi mbili tu Bado tunasafari ndefu kama taifaMimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,
Napendekeza Gamondi apishe fasta
Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda
1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja.
Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass,
Ukimbana hapo hafurukuti.
Hataki kutumia winga, amewakataa mawinga wote wote akina Morrison na Jesus Morocco.
2. Anajua vipaji vya wachezaji
Haifanyi rotation
Kibwana beki kiraka anacheza kulia na kushoto
Leo Gamondi hamhitaji
Nkane ni winga,
Wapi akina Farid Musa
Hawezi management ya wachezaji
Kuna wachezaji wanajikuta mastaa hata wasiokuwa kwenye mazoezi laZima mechi wacheze
Lilikuwa jambo baya Diarra kuchelewa national team na kucheza mechi ya derby siku aliyowasili, japo tulishinda
Hii inawashusha morali makipa wengine
Aziz ki amekuwa mlevi na mtu wa kupenda mishangaza ya huko dar es salaam
5. Kocha wa viungo anawapa wachezaji mazoezi Gani?
Wanaumia mno
Mfano Yao. Amekuwa na miguu ya vioo
Nashauri Eng Hersi alete coach mpya haraka sana, laah sivyo tutapigwa na kupigika na vitimu vidogo
Eng Hersi dirisha dogo muondoshe haraka Musonda, huyu mchezaji ameshindwa kubadilika kabisa
Mashujaa bingwaMimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,

mapema mno kumuona hafai,apewe mda nadhani nayeye kaona shida ilipo tunaamini atakuja vizurBora udhibiti ulevi mapema
Hafai nakuambiaUvumilivu muhimu wajameni,,gamond hana kosa
Hana jambo jipya ataipa timumapema mno kumuona hafai,apewe mda nadhani nayeye kaona shida ilipo tunaamini atakuja vizur
Sio mechi mbili bali hata ushindi anaupata ni ushindi mwembambaMechi mbili tu Bado tunasafari ndefu kama taifa
Hahahaha 😂 sawaHafai nakuambia
Onhoo sawa sawaHana jambo jipya ataipa timu
Hata me sio coach lakini ukinipa hii Yanga naifunga
Nazuia penetration pass navizia counter attack, napiga goli za kutosha tu
Yanga bingwa
Hii Yanga nikiichukua Ngara fcNahisi kama Kuna ukweli ndani yake ,ukiangalia Kwa makini Yanga now days inatumia nguvu nyingi sana kupata matokeo na ni kama Kila timu zimejua tactics za Yanga na simply wakipaki basi hakuna goals,wachezaji wako busy kutafuta direct penetration kwenye msitu wa wachezaji hakuna cross za gombania goal