Nashauri Bakhresa aanzishe Azam schools

Nashauri Bakhresa aanzishe Azam schools

awe kama TATA INDIA thr into FMCG ,automobile,Telecomucation ,manufacturing almost kila kitu
 
Habari za asubuhi,

Nashauri na napendekeza uongozi wa Bakhresa group waanzishe Azam schools kuanzia nusery mpaka A-level hii ingesaidia sana kwa vijana kupata elimu kwa ada nafuu, na kuleta ushindani wa elimu.

Nawasilisha.
Ila lazima usaili utakuwa kwa akina Hafidh, Juma, Hassan, Maimuna, Waridi, Munira na sio kina Emmanuel au kina Esther, huu ndo ukweli deep down.
 
Mhhh....Hao jamaa hawanaga kipaumbele na elimu...Unajua Elim hii ni ya Makafir...Makafir walileta mambo ya Elim....
kwa taarifa yako watoto wa bakhresa wote wanaosimamia kampuni amewasomesha na wana elimu kubwa kuliko wewe unaowakejeli hapa..ingia katika web yao ndio utajua ninalokuambia
 
kwa taarifa yako watoto wa bakhresa wote wanaosimamia kampuni amewasomesha na wana elimu kubwa kuliko wewe unaowakejeli hapa..ingia katika web yao ndio utajua ninalokuambia
Mimi naongelea Deen yetu...

Najua hata Manji amesoma George Town Univetsty US moja ya vyuo bora duniani...
 
Dah sijui kwann waarabu wana ubaguzi hasa wa rangi na dini..
 
1.) Hiyo shule itakuwa ya kidini /Udini
2.) Kama ilivyo kwa seminari zote za dini hiyo, itakuwa ni kufeli mwanzo mwisho
Napinga hoja, aendelee tu kuuza juisi
 
Back
Top Bottom