Habari za asubuhi,
Nashauri na napendekeza uongozi wa Bakhresa group waanzishe Azam schools kuanzia nusery mpaka A-level hii ingesaidia sana kwa vijana kupata elimu kwa ada nafuu, na kuleta ushindani wa elimu.
Nawasilisha
Mhhh....Hao jamaa hawanaga kipaumbele na elimu...Unajua Elim hii ni ya Makafir...Makafir walileta mambo ya Elim....
Mhhh....Hao jamaa hawanaga kipaumbele na elimu...Unajua Elim hii ni ya Makafir...Makafir walileta mambo ya Elim....
"KWA ADA NAFUU" Kwa nini ada nafuu? Ukiona hivyo ujue anakwepa kodi. Unafuu utatoka wapi kwa utitiri wa kodi nchini kwetu.?? JITAMBUE MKUU.
ushakosea,ilitakiwa uandae propozo umpelekee said baharesa ikiwa na plans zote na break-even angeanzisha na kukupa ukurugenzi basi tena wajanja washachukua idea na wanaenda kumpa.
Habari za asubuhi,
Nashauri na napendekeza uongozi wa Bakhresa group waanzishe Azam schools kuanzia nusery mpaka A-level hii ingesaidia sana kwa vijana kupata elimu kwa ada nafuu, na kuleta ushindani wa elimu.
Nawasilisha.
fyi"kwa ada nafuu" kwa nini ada nafuu? Ukiona hivyo ujue anakwepa kodi. Unafuu utatoka wapi kwa utitiri wa kodi nchini kwetu.?? Jitambue mkuu.
tafuta mdhaminijamani wana jf mimi ni mwabafunzi kidato cha nne sijasajiriwa kutokana na ada kupungua nifanye nini?