Nashangazwa na tabia za wabunge wa kutoka nje

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,987
1,209
Nimekuwa nikifatilia mara kwa mara vikao vya bunge toka siasa za vyama zianze na kurushwa moja Kwa moja kwenye TV.

Imekuwa ni kawaida yao kila inapotokea kutokukubaliana na hoja za serikali wanatoka nje.

Kilichonishangaza zaidi ni pale walipotaka kujadili hotuba ya rais wakati alipohutubia bunge.

Upinzani siyo kupinga kila kitu jaribuni kuwa na hekima tumewachagua mtuwakilishe siyo kutoka kwenye vikao
 
Hata sisi tunakushanga kama Mkuu alivyokuwa anashangaa kwa kila kitu wakati wa kutafutu ufalme
 
Nimekuwa nikifatilia mara kwa mara vikao vya bunge toka siasa za vyama zianze na kurushwa moja Kwa moja kwenye TV.

Imekuwa ni kawaida yao kila inapotokea kutokukubaliana na hoja za serikali wanatoka nje.

Kilichonishangaza zaidi ni pale walipotaka kujadili hotuba ya rais wakati alipohutubia bunge.

Upinzani siyo kupinga kila kitu jaribuni kuwa na hekima tumewachagua mtuwakilishe siyo kutoka kwenye vikao
Hivi unajua ni kwanini walitoka nje?? Maana hata sisi tunakushangaa kuandika kitu usicho na utafiti nacho.
Kwa faida yako walitoka nje kupinga uwepo wa Dr Shein pale bungeni kama rais wa Zanzibar.
Sasa unaweza kuona kwanini tuna kushangaa.
Pia kutoka nje ni haki ya mbunge ya msingi kuonyesha hakubaliani na mjadala au hoja iliyoko bungeni kwa wakati huo.
 
Sasa wewe ulitaka wafanyaje labda. Unapoona kuna dalili zote za kushikwa makalio, na huna nguvu ya kujitetea zaidi ya mbio utafanyaje kwa mfano.
 
Mbona Kimbisa,Nchimbi na Sophia Simba walitoka nje kamati kuu?
 
Back
Top Bottom