chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Ni ugumu tu Wa maisha unasababisha hayoHabari wa za kutwa kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapa jf naona kama hoja za mapenzi zimetawala, sasa nimejiuliza humu ndani kuna nani anayetaka kujua kuhusu mapenzi maana mapenzi yapo toka enzi za mababu na mapenzi kila mtu na stail yake.
Ushauli wangu mjue kuwa mapenzi hayafundishwi kila mtu ana stail yake. Nawakilisha.
Bora tuzungumzie nyuklia ya Mswahili(Dushe).Unataka tuizungumzie Nyuklia Ya Mkorea na wakat Hata Hatujui Inatengenezewaje......??
Wewe Vip Wewe ..........!!!!!!
WENYE MIAKA CHINI YA 18 WANASUMBUAKUMBE NA WEWE UMENILIONA UKIFUNGUA TU JF NI MAPENZI.............. MAPENZI........... MAPENZI........
JUKWAA LA MADA ZA MAPENZI LITAONDOLEWA HIVI PUNDEWewe kama hutaki kujua kuhusu mapenzi fanya mambo mengine mkuu, hujafungwa pingu kuwa ni lazima usome mada za mapenzi
BTW Majukwaa yapo mengi tofauti na mapenzi..Chagua upendalo