Watu hawataki ukweli siku hizi. Wanapenda vitu vya muda tuu. Ndo maana watu tumepoteza hata asili yetu. Kuanzia lugha, nguo, na hata rangi ya ngozi yetu.
Hii kitu imehamia kwenye muziki watu wanataka ifanya hip hop ionekane kama muziki wa kawaida tuu kama singeli zao wanazoimba. Hawajui HIP HOP si muziki HIP HOP ni utamaduni na uhalisia wa maisha yetu ya kila siku tunayoishi.
Ukiwa na pumzi usichoke kuusema ukweli na hakika utakuwa huru buddy