Nasema hivi, Mume anauma!

Kuna utofauti wa kula tu ukaondoka. Ila unajenga uhusiano kabisa mnakaa masaa 4 mnaongea, mnataniana, unamjua kiundani, shida zake unamtatulia…unfair kabisa
Vumilia dada, hata ukiharibu uhusiano wake na hako katoto kabuku 2

Usidhani itakuwa ndio mwisho atatafuta tena na mwingine

Ila thubutu uumcheat yeye na halafu ajue uone
 
Inaonekana mlifanya naye mambo ya kishenzi huto Ex wako hadi unamtumia kikazi😆😆

Harafu watu washenzi baada ya kuwafanyia mambo ya Kishenzi huwa hawawaoi badala yake mnakuja na kutuganda sisi Innocent Boys.
Ushenzi hakufanya na mie. Alifanya na wengine nikaujua.

Ni mwezi mchanga i agree lakini ni mtu loyal sana na ananijali.

And for the record, mi sijamganda huyu bwana. I am just not stupid enough kuacha familia tuliyojenga ivunjike kisa ameamua kugusanisha vikojoleo huko nje.
 
Huyu mtoto mimi simtafuti! Labda kichaa nilompa kazi amwambie, which i doubt. Katika ushauri wote, huu wa confrontation nimeukataa.
Hamna confrontation hapo, hujanisoma ukanielewa.

Unaonekana unamuogopa huyo mtoto, jiandae kumpoteza mwenzio.

Wenzio hutatua matatizo yanayowahusu personally, wewe unataka kusaidiwa?!

Hujiulizi itakuaje huyo mtoto akimkataa kuwadi uliyemtuma? utaliwa hela na kuwadi mpaka ukome huku mume akiendelea kujiachia na katoto.
 
Yakinifika shingoni nitaongea na niliye na makubaliano naye. Naanzaje kumpigia mtoto wa mtu kulialia nalilia mwanaume. Aiii
 
Utazoea jipe muda.
 
Kwahiyo yeye ale mema ya nchi nikila mie aaaahhh…

Hebu kuwa reasonable basi.
 
Zurie

Unafikiri wanawake wenzako walio kwenye ndoa hawajui kuwa waume zao wana michepuko?

Wanajua na wanafahamu hata baadhi wanafahamu michepuko ya waume zao

Wametulia tu wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite siku zinaenda maisha yanasonga

By the way kwani wewe alikukuta bikra?
 
Sasa hizo extra curricular activities ulizojikabidhi huoni kwamba ni kujiongezea mzigo na kutumia rasilimali muda wako (unless ni hobby yako kufanya hizo harakati)

Anyway to each their own....
Sasa muda wangu niutumie kufanya nini kama sio vitu vya kuboresha maisha yangu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…