Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,625
- 22,546
Imekuumiza, pole.Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Hiyo itakutesa sana, dawa mpk ulipize trust me honey 🤣🤣🤣Kila nikiongeza glass ya wine hasira inapanda halafu nawaza labda nifanye tu na mimi
Tit for Tat hasira yangu iishe tuishi kama zamani.
Maana hata mwaka jana si alikuwa nae ila sababu sikujua na sikuwa na hasira tuliishi tu poa
Hapo umewaza vyema fanya hivyo.Kila nikiongeza glass ya wine hasira inapanda halafu nawaza labda nifanye tu na mimi
Tit for Tat hasira yangu iishe tuishi kama zamani.
Maana hata mwaka jana si alikuwa nae ila sababu sikujua na sikuwa na hasira tuliishi tu poa
Hahaha..........hao mabinti wana mbinu balaa, na wakishaona Wana deal na sisi Wazee ndiyo mbinu wanazidishaOyaaa babu 😂😂😂
Ni hatari Mkuu, yaani bora tumezeeka sasa 😜Kwamba ulikua unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Babu wakupokonye simu 🤣🤣🤣Hahaha..........hao mabinti wana mbinu balaa, na wakishaona Wana deal na sisi Wazee ndiyo mbinu wanazidisha
Usipokuwa jirani na dawa za Presha unaweza kufia kwenye kinena 🙌
Usinifokeee😂😂😂Mbona hamuwaoi sasa na wamefika umri. Kata mti panda mti sio unataka kumiliki msitu mzima
Watu tumetofautiana!Hiyo itakutesa sana, dawa mpk ulipize trust me honey 🤣🤣🤣
Pole, unapomnyima unampa uhalali wa kula nje.Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
My analysis of the situation;
Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Una katabia ka kuzimu dogo🤣🤣Hiyo itakutesa sana, dawa mpk ulipize trust me honey 🤣🤣🤣
Koh Koh Koh ........... hii Kiko ya leo imekuwa Kali sana 😜Babu wakupokonye simu 🤣🤣🤣
Kwahiyo kama kutafuna nje atafune ila usije ukagundua!??😁😁😁😁Sure yani mume anauma...hasa pale unapojua kuwa mpo watatu..m hayajanikuta ndoa changa ila...naomba nsijue na Huwa namwambia kabisa fanya mambo Yako ila jitahidi sana usinionyeshee nkijua tu mi chaliii🥺
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto WA 2000 ? Jiandae kutibu uti
Huyu hajawahi kupigwa matukio ya kufululiza. Yaani unapigwa matukio kiasi kwamba mwili na moyo vinakufa ganzi hata uitwe njoo umuone mumeo huku ananyanduana na mtu nyumba ya jirani ndo kwanza unavuta blanket unakoroma vizuri kabisa.Jamani.
Uduguuu, acha kabisaa, kunae mwanaa wa Israel akanifundishaa "cocaa hapa ni Bongo, sio Ulayaa, kaa kimastaaa"Uduguu umetoa ushauri mzuri sana, ushakuwa mkomavu na wana wa Israel [emoji23][emoji23]
Utateseka sana,wanawake tambueni wanaume ni polygamys,utamuachisha kwa huyo binti atatafuta mwingine tena and the circle continues.Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa