To hell. Bora tukose wote.usije ukamuombesha dada wa watu uji tu
baadae mumeo akiachwa utamuomba game nae atasema ana mawazo hana hamu mshahara haujatoka kumbe anamuwazia kitoto cha 2000
Sure yani mume anauma...hasa pale unapojua kuwa mpo watatu..m hayajanikuta ndoa changa ila...naomba nsijue na Huwa namwambia kabisa fanya mambo Yako ila jitahidi sana usinionyeshee nkijua tu mi chaliiiπ₯ΊMi hata simuombei mabaya. Ila aniachie huyu baba jamani, sio issue
Anajua kuwa ni mume wa mtu. Anajua vizuri tu.Kwa kuwa umesema, huyo dada sio mtu wa kukwapua wanaume za watu, na kwa mumeo imetokea kibahati mbaya na hajui km baba ni mume wa mtu.
Basi muitee huyo dada na umpe onyoo kalii, naamini atamuacha chibaba wako.
Hiyo njia unayotaka kutumia, uta fail na uta fail haswaa, niamini mie.
Usijesema hukuambiwaa. Poleeeee sanaa.