Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

Status
Not open for further replies.
Kuna jamaa hapa anasema " kwani wataondoka nayo" sasa sijajua anaongelea nn #lol
 
hii ndiyo sheria mama: usiumizwe na vitu ambavyo huwezi kuvibadirisha!!"
jambo LA pili hivi hiyo papuchi ni sabuni ambayo ikitumiwa inaisga?
Muache agawe tu.
 
dawa ni kununua solex , funga nenda na funguo, hadi utakaporudi.

Kuna mafundi wa kuchomelea vyuma ataenda waikate hiyo solex, then utashangaa hapo hapo kwa fundi analiwa kiulainiiiiii...... na wadau wakishajua ni mali ya mtu papuchi itasuguliwa mpaka iwake moto
 
Nina mawazo tu hapa njiani nikitembea naye wahuni wanaacha shughuli zao wanamuangalia akiwa peke yake ndo kabisaaa ksi ksi ksi haziishi
hivi ukimaliza chakula ukafuta mdomo wako kuna mtu atajua kama umeshakula????
Huko unakoenda nawe kachape.
 
Kazi za GENERAL GALADUDU fisadi wa mapenzi
 
Kuna mafundi wa kuchomelea vyuma ataenda waikate hiyo solex, then utashangaa hapo hapo kwa fundi analiwa kiulainiiiiii...... na wadau wakishajua ni mali ya mtu papuchi itasuguliwa mpaka iwake moto

nunua chupi ya chuma . this is plan B
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…