IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,738
- 7,085
Akitoka kukisindikiza airport hata kabla hujatua huko unako kwenda break ya kwanza ni nyumba ya kulala wageni. Hahahahaaa bora uahirishe tu safari maana hakuna namna nyingine.
Dah! kaka una moyo sana! yaan unakabidhi vitu vyote ivyo kwa mwanamke? hujawah kutendwa nn? tena dem wenyewe yuko chuo!! nadhan kama na ww umepitia chuo unayajua vzr maisha ya chuo, tuulize wenzio yaliyotukuta hata hao wanaojiita wanachuo hatuna ham nao, ilibaki kidogo tu niue
I trust her
Mfiche kwenye suitcase uende naye. Na ukifika majuu uwe unamficha kwenye wallet.
Kwani kuchapiwa lazima uwe Ulaya??
Mkuu cha msingi ni kumuandaa huyo mwanamke kupambana na vishawishi.
Kumjengea uwezo wa kuwa mwaminifu, na pia kuwa mvumilivu katika kipindi chote ambacho haupo.
Jaribu kumuonesha upendo na mapenzi ya hali ya juu kwa kipind kifupi kilicho baki.
Ukiwa mbali, huko nje... jaribu kuwa na mawasiliano nae ya karibu.
Usijifanye unamchunguza chunguza saana, utaharibu.
Kila la kheri mkuuu, ila lazima uelewe kwamba hata ungekuwa na msichana mkali vip lazima kuna kipind hauta kuwa nae benet. So lazima mjenge dhana ya uaminifu na pia kushinda vishawish
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni kuchapiwa my bloody nampenda sana lakini watu wanamsumbua sana wakimdannganya wajanja wa mjini nimeisha maana nimemuachia kila kitu funguo ya gari funguo ya nyumba japo yupo chuo na biashara zangu atasimamia yeye jamani have respect on my girlfriend sitaki mumsumbue pleaseeeeeeee
Kwani kuchapiwa ni ajabu kaka,!!
Which one?
Swalama mkuu lkn?