Hii ni fujo sasa huyu jamaa kweli ana shida kubwa kwenye kichwa chake katiba ya kenya inaruhusu mambo kama hayo??Kenyata ni mvumilivu yeye aliacha muda upite kama kuna wanapinga matokeo mahakamani wasikilizwe,kweli wamesikilizwa na pingamizi zao kutupwa sasa hapo Raila ataapishwa kwa misingi ipi??kweli ndege wanaofanana huruka pamoja.