Naruhusiwa kumuoa?

loh imebidi nichore mti familia ndio nimeelewa mkuu unaweza kumuoa by the way huyo Salima sio mama yako mzazi .n pia Asia atakuwa mkwe na mjukuu wa wakufikia kwa mzee Mafudu kwahiyo ana position mbili
 
Huyu unaoa na unapiga kama kawaida!Undugu wa kuunga unga sana huo hadi nauona kwa binoclars
 
Kama umempenda muwowe tu haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…