Hivi Mtu unaanzaje kumpenda Mtu Kwa haraka hivyo? Unajua historia na tabia zake? Binafsi nakushangaa sana! Unataka mwanamke wa mwendo kasi [emoji87][emoji87][emoji87] mwanamke wa mtandaoni [emoji87][emoji87][emoji87] buyer be ware! Ni tamaa Au upendo wa aina gani? Hapana unahitaji U jifunze "self control " kwanza Mtu mwingine angezarau na kuona kuwa fake! Samahani Kwa kuyanena hayo!