Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,594 Reaction score 1,862 May 29, 2013 #1 nitakuwa na mpa madili ya kutengenez printer mara kwa mara japo siyo kila wakat, kwan kulingana na kaz zangu nakutana na watu wanashida na printer na nakuwa sina mtu. Call me chap. 0715812160 Note: Awe hapa dsm tafadhal na uwezo wa wastan.
nitakuwa na mpa madili ya kutengenez printer mara kwa mara japo siyo kila wakat, kwan kulingana na kaz zangu nakutana na watu wanashida na printer na nakuwa sina mtu. Call me chap. 0715812160 Note: Awe hapa dsm tafadhal na uwezo wa wastan.
Kun Jr JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 701 Reaction score 363 May 29, 2013 #2 ni pm nipo tayar
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,913 May 29, 2013 #4 mhh hivi printer zinatengenezeka kweli au ni kubadilisha fuse tuu?