Narudi nyumbani!

Ughaibuni ndio nchi za watu?
Ughaibuni si ndio nchi za nje huko lakini?? ambapo watu wapo...au ughaibuni mpaka uvuke Afrika uende ulaya, America,Asia au Australia?? kwani hata hapo Sauzi Afrika si ughaibuni eee
 
Ughaibuni si ndio nchi za nje huko lakini?? ambapo watu wapo...au ughaibuni mpaka uvuke Afrika uende ulaya, America,Asia au Australia?? kwani hata hapo Sauzi Afrika si ughaibuni eee
Jo...tumwache ajieleze tusiharibu maana ya Ughaibuni.
 
Njoo tuu, wengine tunaenda Zimbabwe...
Note
Ukiona Nisan patrol inakuja nyuma yako, take cover au lala kwenye seat, huku sio safe ki vile Mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…