Narudi Kwetu...

hahahahahah,Jamani naanzaje kumfukuza wifi jamani,njoo umfukuze mwenyewe mdogo wako ..........
Huyo wifi yako inabdi apate mume chizi kama mimi..! Yaani hapo nakuja nikiwa na mkanda wangu nnaotumia kuvalia msuli (uko kama wa kijeshi) natembeza kipigo mbona atarudi mwenyewe na mabegi yake kichwani.! Shubaamit!

Huyo mumewe nae ni bwege..! Huyo wifiyo ameshamuona mumewe hamna kitu and ameshampanda kichwani..! [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumewe mpole sanaaaaaaaaaaaa na ndio mana anampanda kichwa ila amekosea kuja kwa kakake manake huyu mumewangu ni marafiki na shemeji yake sanaaaaaaaaaaaa sasa hata akija na kesi jamaa daima ana win na wacha niwe mkweli jamaa mpole sanaaaa hapendi fujo yuko na wanawe huko lakini na yeye hata kumpigia mkewe cm akamwambia rudi nyumbani..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…