Narudi Kwetu...

Mwambie huyo wifi yako ni 'bogasi'.. Huyo unamuogopea nini kumfukuza kwako!? Nyie ndio mnataka kuonekana wazuri kwa mawifi ilhali moyoni mna chuki nao..

Bora hata shemeji arudi..
 
Hivi shosti si wajinsia yako sio??? Mimi nina gegedo hai ndg... Kama ndivyo mwache asubirie tamu hapo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie huyo wifi yako ni 'bogasi'.. Huyo unamuogopea nini kumfukuza kwako!? Nyie ndio mnataka kuonekana wazuri kwa mawifi ilhali moyoni mna chuki na hasira nao..
 
Mwambie huyo wifi yako ni 'bogasi'.. Huyo unamuogopea nini kumfukuza kwako!? Nyie ndio mnataka kuonekana wazuri kwa mawifi ilhali moyoni mna chuki na hasira nao..
Shosti uzuri sina ila haileti picha nzuri yeye ni sawa na mdogo wangu au dadangu,sasa nimemweleza kama ndugu yangu,na nilijua akimpigia bro wake atamwambia arudi kwa mumewe manake reason alonipa hai make sense at all,ndio nikamwambia subiri mpaka aje ndio utaongea nae kaniona fala,na bora wafukuzane wenyewe kuliko nimfukuze mie..
 
Hivi usawa wa baba Jesca mtu anadai nguo za Idd atakuwa na matatizo hela ya kula tu mkiipata mnashukuru mungu. Huyo atakuwa na matatizo mengine aende tu. Au anakideti na jamaa mwingine sasa anasingizia nguo za Idd, ili arudi home apate nafasi ya kutoka. Alafu huyo wifio atakuwa umri wake bado mdogo amekimbilia kuolewa huyo, hajakomaa, Ndoa ni zaidi ya hivyo watu wanavyodream.
 

Naomba nitake radhi!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Naomba nitake radhi kwanza!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Naomba nitake radhi kwanza!!!!!!!!!!!!!!!! Mimi sio shosti, ni mwanaume..
 
WekA na Kapicha Kake Mkuu[emoji81][emoji81][emoji75][emoji75]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…