Ni mda sasa umepita toka mtangaze ajira zenu na sisi wasakatonge tukajizatiti kuomba . Sasa mbona shortlist ya majina kwa ajili ya interview hamtoi au ndio mchakato mlishaukamilisha juu kwa juu? Uzi tayari. Vyema mtoe mrejesho
Mi ninavyofahamu ni kuwa Taasisi za kiserikali huwa wanaweka shortlist.Wasije wakasema walipigia watu simu...
(bora wazingatie kile kipengele cha "only the selected candidates will be shortlisted")

Ni kweli hawa Narco hatuelew me pia nishaomba huko ila kila nikiuliza wadau hakuna anayejua kinachoendelea. Pia NGSS 6 tuliuliza ndo shingap hakuna anayejua. Naona mchezo ushaisha huko