Tusubiri msaada wa mawazo.Hili tatzo nilijua ninalo mwenyewe kumbe tuko wengi..., Sinywi pombe, sivuti sigara Wala bangi Nina Safari nyingi za kikazi nje ya mshahara ... Million Moja ndani nakuwa nshaimaliza, mpaka mda nakuw sijiielewi
Hili tatzo nilijua ninalo mwenyewe kumbe tuko wengi..., Sinywi pombe, sivuti sigara Wala bangi Nina Safari nyingi za kikazi nje ya mshahara ... Million Moja ndani ya wiki nakuwa nshaimaliza, mpaka mda mwingine nakuw sijiielewi
Pesa haiwezi kuisha bila matumizi. Wekeni hapa matumizi yenu tuyaoneNami ngoja nisubiri mawazo pesa haishikiki na hamna tangible things zilizopo kutokana na mtonyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana.Fanya mpango uoe kama huja oa,inaonekana huna majukumu,au anzisha biashara ,au kama unakiwanja ana kujenga naamini ukifanya moja kati ya hayo pesa yako utaiona inapo kwenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana niliacha kitambo sanaHujasema hapo kama unabeti
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi.Mkuu, kila siku jaribu kuweka record ya kila shillingi unayotumia kwenye Excel spreadsheet au hata kwenye daftari. Spreadheet iwe kama petty cash book na iwe na columns kama - chakula, nauli, kodi, umeme nk. Kila shillingi unayotumia unairekodi. Mwisho wa mwezi utapata picha ya matumizi ya hela yako na pia utapata kujua wapi unatumia hela sana na kutafuta jinsi ya kubana matumizi..
Yani hela bhana....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Adui anakushambulia kwenye Ulimwengu wa roho..nenda kanisani wakuombee hiyo roho inatakiwa ivunjwe kwa damu ya Yesu..Habari ndugu na jamaa!
Nimekuja na ka uzi kadogo haka nikihitaji mawazo yenu.
Nipo sekta ya Afya kikazi,nalipwa vizuri pesa kila mwisho wa mwezi, tatizo baada ya siku mbili tatu sielewi pesa imeenda wapi.
Nina matumizi yasiyo ya lazima,hadi inaniumiza maana nakuwa nauona mwisho wangu sio mzuri. Nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.
Mfano wiki iliyopita nimepata 120000 nje ya mshahara toka kwa mihangaiko mbadala,siku tatu baadae sina hata mia.
Sinywi pombe,sihongi,sivai sana,chakula matumizi madogo kabisa.
Naombeni njia mnazotumia kujibana na kutunza fedha,nizitumie maana hii hali mwisho wangu utakuwa sio mzuri.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unanipa nikutunzieHili tatzo nilijua ninalo mwenyewe kumbe tuko wengi..., Sinywi pombe, sivuti sigara Wala bangi Nina Safari nyingi za kikazi nje ya mshahara
Million Moja ndani ya wiki nakuwa nshaimaliza, mpaka mda mwingine nakuw sijiielewi