Baby de toto
Senior Member
- Jan 3, 2025
- 153
- 338
Uko mkoa gani
Sasa hivi nipo DarUko mkoa gani
Mkuu siyo mimiMmmmh mbona story zinaendana karibia 96% na mschana mmoja anaitwa Merry? sio wewe kweli tulikutana fb baada ya muda fln ukaniambia hali yako na ukaomba hela nikakwambia hela sina kama unahitaji msaada njoo geita ama tukukane kamanga hospital kwa Dr wa masikio gharama nitatoa mimi.
Baada ya kukuambia vile ulinipa sharti nije kwanza kwenu wanijue ...............kwa kifupi ulianza ujanja ujanja kama sio wewe nisamehe ila kisa chako kinaendana sana matukio uliyosema kilichotofautiana tu ni macho,kukoswa nguvu na kuanguka basi.Lakini kujitolea ualimu sawa na ulisema ni fundi cherehani na tatizo la msakio tangu ukiwa olevel.
Pole sana.Na samahani sanaMkuu siyo mimi
Sawa hakuna shida 🙏Pole sana.Na samahani sana
Lakini mkuu hilo shart alilokupa ni kwa ajili ya usalama wake sioni kama ni ujanjaujanja au labda kama kuna mengine hukuyaweka waziMmmmh mbona story zinaendana karibia 96% na mschana mmoja anaitwa Merry? sio wewe kweli tulikutana fb baada ya muda fln ukaniambia hali yako na ukaomba hela nikakwambia hela sina kama unahitaji msaada njoo geita ama tukukane kamanga hospital kwa Dr wa masikio gharama nitatoa mimi.
Baada ya kukuambia vile ulinipa sharti nije kwanza kwenu wanijue ...............kwa kifupi ulianza ujanja ujanja kama sio wewe nisamehe ila kisa chako kinaendana sana matukio uliyosema kilichotofautiana tu ni macho,kukoswa nguvu na kuanguka basi.Lakini kujitolea ualimu sawa na ulisema ni fundi cherehani na tatizo la msakio tangu ukiwa olevel.
Naomba unisaidie hiyo novena kama hutochaliKama ni mroma na una amini Funga na kuSali Novena ya My.Ritha wa kasia ( Novena ya mambo yaliyoshindikana )...
Nasisitiza tena,. Kama unaamini
Lamomy Labella nakumbuka wakati unanielekeza siku ya kwanza sikuwa na amini,. Lakini kwa Juhudi za madaktari na Nguvu ya novena hii nilipona kabisa,. Ubarikiwe sana Jirani
Pole sana nenda hospitali kubwa kama Hindu mandal pale au Aga khan wanaeza saidia kujua chanzo cha tatizoWakuu habari zenu wakuu naomba ni share hali yangu japo nipate hata faraja maana naona naweza kupata ugonjwa wa moyo siku siyo nyingi mimi ni binti wa miaka 25
Mwaka 2017 nikiwa kidato cha nne niliugua ugonjwa wa ajabu sana miguu ilikuwa inawaka moto na kuhisi baridi sana muda wote pamoja na kufaganzi maumivu yalikuwa makali sana mpaka nashindwa kutembea. Mgongo wangu ulianza kuuma nikawa nakosa balance kati ya kiuno na mgongo naweza kukaa kwenye kiti nikawewesuka nikaanguka chini.
Pia masikio yangu yalianza kuuma na kuhisi kelele muda wote hali hii
SawaSasa hivi nipo Dar
Ngoja tuone namna ya kukusaidia Kama upo Dar.Sasa hivi nipo Dar
Najaribu kuattach pdf file hala linanigomea,. Nipatie namba PM yako ya Whatsap nikutumieNaomba unisaidie hiyo novena kama hutochali
Tafuta mume uolewe, atakaye kupenda kwa dhati na madhaifu yako. Ndoa huja na Baraka zake nyingi, utapona.Sasa hivi nipo Dar
Ila hospitali kubwa nimeenda Bugando hizo nyingine siwezi gharama zaoPole sana nenda hospitali kubwa kama Hindu mandal pale au Aga khan wanaeza saidia kujua chanzo cha tatizo
kingine kubali tu hali halisi focus na mambo mazuri yanayokupa amani ya moyo unaeza conquer anything ukijiamini ukaeka hio ‘mimi sisikii’ pembeni have your confidence and go you got this.
Pia usijitenge na watu jichanganye kwa wingi inasaidia kumbuka maisha ni watu
Kila la heri