Imeandikwa kwenye kitabu cha (Mwanzo 'Genesis' chapter 2:18) Kuwa Mungu atampa Adamu 'msaidizi' wake,
(Genesis chapter 3:16-19) Imeandika kuwa mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,
Hii 50% 50% imetoka wapi? Mwanaume ni kichwa cha familia na mwanamke ni msaidizi na hizo 50% 50% zinatoka wapi?
Walipoanzisha hili suala la haki sawa kijinsia haimaanishi wanawapenda sana wanawake, hii ni agenda ya shetani,
Kueni makini, haiwezekani mwanaume na mwanamke wakafanana kivyovyote hata siku moja, na haito kaa kuja kutokea milele,