PostGE2025 Napinga ushauri wa THRDC wa kuitaka CHADEMA izungumze na Serikali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,901
Reaction score
287,997
Chadema izungumze na Serikali kuhusu nini? Ili iweje, kuna nini?

Screenshot_20260820-155431~2.png

Kama wanachadema wote ni Magaidi na Wahaini wanauliwa kama dagaa na kubambikwa kila kesi, unawaona hawana haki yoyote kwenye Nchi unataka wazungumze nini na wanaowateka?
 
Chadema izungumze na Serikali kuhusu nini? Ili iweje, kuna nini?

View attachment 3653814

Mazungumzo hayakwepeki. Hata wanaopigana wanazungumza. Kukubali kuzungumza si udhaifu.
 
Chadema izungumze na Serikali kuhusu nini? Ili iweje, kuna nini?

View attachment 3653814

Kama wanachadema wote ni Magaidi na Wahaini wanauliwa kama dagaa na kubambikwa kila kesi, unawaona hawana haki yoyote kwenye Nchi unataka wazungumze nini na wanaowateka?
haina umuhimu sana hiyo, mambo yanakwenda vizuri tu hata bila ya wao 🐒
 
USA anataka mazungumzo na anayemuita gaid , unafikiria nan ataathika kama uchochezi mmefanya wa wazi ni vile wanamuonea huruma tu . kama maisha ynaendelea , ni hapa JF mnapiga kelele, wasanii wanapiga show zao na maish yanaenda kama kawaida.
 
Hata SErikali haina hoja yoyote ya kuzungumza na Chadema. Huo ushauri upuuzwe.
Chadema izungumze na Serikali kuhusu nini? Ili iweje, kuna nini?

View attachment 3653814

Kama wanachadema wote ni Magaidi na Wahaini wanauliwa kama dagaa na kubambikwa kila kesi, unawaona hawana haki yoyote kwenye Nchi unataka wazungumze nini na wanaowateka?
 
Chadema izungumze na Serikali kuhusu nini? Ili iweje, kuna nini?

View attachment 3653814

Kama wanachadema wote ni Magaidi na Wahaini wanauliwa kama dagaa na kubambikwa kila kesi, unawaona hawana haki yoyote kwenye Nchi unataka wazungumze nini na wanaowateka?
Kafika bei huyu. Kwani asishauri Serilali ifanye mazungumzo na waliofiwa na wapendwa wao. Kwani lazima CHADEMA?
Msimamo wa Chadema upo wazi. Tunakaka kujua ni nani aliyeamlisha watu kupigwa risasi 29.10.2025. Tuwajibishane kwanza ndipo tusameheane.
 
USA anataka mazungumzo na anayemuita gaid , unafikiria nan ataathika kama uchochezi mmefanya wa wazi ni vile wanamuonea huruma tu . kama maisha ynaendelea , ni hapa JF mnapiga kelele, wasanii wanapiga show zao na maish yanaenda kama kawaida.
Endeleen na maisha yenu sasa mnahangaikia maridhiano ya nini kama hao wasanii wenu wanapiga shoo
 
Kuna kila dalili kwamba amenusa hukumu ya kesho;ikiwa hivyo ndivyo kwa maoni yake yupo sawa. lakini kuna hoja itajitokeza kwenye maridhiano iwapo kweli chadema watakubali;agenda za maridhiano zitakuwa zipi? Kwa chadema hii hata wakikubali hao maridhiano hawata taka mtuhumiwa wa mauwaji asimamie hayo maridhiano;
Chadema watataka
iundwe tume ya kuchunguza waliouwa na hatua zilizochukuliwa kwanza kabla ya maridhiano. huko ndiko kubaya zaidi
 
USA anataka mazungumzo na anayemuita gaid , unafikiria nan ataathika kama uchochezi mmefanya wa wazi ni vile wanamuonea huruma tu . kama maisha ynaendelea , ni hapa JF mnapiga kelele, wasanii wanapiga show zao na maish yanaenda kama kawaida.

..Chadema wako tayari kwa mazungumzo.

..Na wametoa rai mazungumzo yasimamiwe na MSULUHISHI anayekubalika na pande zote.

..hatua inayopaswa kufuatia ni serikali kupendekeza wasuluhishi, na pande zitakazokuwa kwenye mazungumzo zimpitishe, ili ateuliwe.

..Na kwa taarifa tu wadau karibu wote walitoa ushirikiano kwa Rais Mstaafu CHAKWERA wakati alipokuja nchini.

..Mimi ningeshauri Mzee Chakwera arejeshwe nchini kwani tayari ameshaonyesha kuaminiwa na makundi mbalimbali hapa nchini.
 
Back
Top Bottom