Wellsaid mkuu jinsi hiyo issue ilivyokaa ni kweli jaji alijichanganya wakati wa majumuisho kosa alilopatikana nalo lema ni illegal campaign na siyo illiegal practice.
Mytake:Wakili wa Lema inabidi awasiliane na jaji iliaclarify kuwa huo mkanganyiko wa vifungu alikosea au lah! Lengo la magamba ilikuwa ni lema akate rufaa ambayo ingemuweza kuendelea kuwa mbunge kitu ambacho kingepeleke delidali na hukumu ingetoka mwakani na kama bado mahaka ya rufaa ingemtia lema hatiani jimbo la arusha lingebaki wazi mpaka 2015 coz sheria ya uchaguzi inasema kama jimbo litaachwa wazi miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu hakutakuwa na ujazwaji wa hiyo nafasi.
Wanasheria mtanirekebisha kama nimekosea.
Mpaka sasa sielewi nani mkweli na nani ananipotosha, wengine ooooooh Lema haruhusiwi kugombea, wengine oooooh Lema anaruhusiwa kugombea, kipi ni kipi hapa?
NNE: kuna wapiganaji watatu waliuwawa na polisi kwa kushiriki maandamano ya kupinga CCM kubaka Demokrasia na kujipitishia MEYA kibabe, Marehemu hawa waliandamana na kupoteza maisha yao sababu ya kusimamia HAKI na walikufa wakiamini CDM wanasimamia HAKI kwa gharama yoyote. Sasa leo inakuwaje CDM wanashindwakuwaENZI marehemu hao kwa kuendelea kusimamia HAKI kwa gharama yeyote hata kwa kupoteza jimno la LEMA ili HAKI dhidi ya LEMA yaani HAKIA ya kugombea arejeshewe?
Umejitahidi sana kuandika na kuweka wazi nawazo yako.Lakini kumbuka kuwa kesi hii mi ya kisiasa. Kesi za kisiasa mara nyingi za haki, kwa maana kuwa haki huwa haifuatwi bali hufuatwa matakwa ya aliye juu.
Kwa hili la Arusha mjini ni kuwa kama Chadema wakikata rufaa basi huenda ikawa hakuna uchaguzi hadi ule wa 2015.Kazi hapa ya mahakama itakuwa ni kuahirisha kesi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Kwa hiyo ni heri kupambana tena ksms kuna uhakika wa kushinda tena.
Yani mzee unategeka haraka! huyu katumwa yupo kazini huyo! we twende kwenye uchaguzi Lema ni mbunge wetu na sisi tutamlipa!
Kwa kifungu alichokieleza mleta mada ni kweli hawezi gombea.
Judge amepitiwa maana hakuna ushahidi kuhusu rushwa ambao ulielekezwa katika mwenendndo mzima.
Hivyo the only way nikupeleka maombi Mahakama Kuu ili iweze yenyewe ku rectify error on judgment au vinginevyo kuomba marejeo "Revision" Mahakama ya Rufaa, lakini kama kuna kamchizo kanachezwa utasikia Mahakama haina fungu mara hooo sijui ..... kibao mara 2015.
Ni kweli haki haikutendeka na Jaji kwa sababu anazozielewa vema amechomekea kipengele cha Lema kutogombea kwa makusudi ili akikata rufaa izunguushwe hadi uchaguzi Mkuu. Kesi hii ina mkono wa siasa na kama tetesi zilivyo licha kukanusha vikali ikulu inahusika kikamilifu katika kutengeneza hukumu ya kesi hii kwa hiyo kukata rufaa kutawapa wahujumu hawa nafuu na uchochoro wa kuficha madhambi yao, ambapo wataingilia kati tena kushinikiza isiishe mapema hadi karibu na uchaguzi wa 2015. Dawa ya hujuma hii ni CHADEMA kuikubali hukumu,ili jimbo litangazwe wazi na CCM wasulubiwe vilivyo katika uchaguzi unaofuatia ambao hata hivyo matokeo yake yanatabirika. Natamani huyo Biriyani wao aje tena kugombea ili safari hii apewe doze ya kustaafu kabisa siasa. Vyovyote ilivyo hukumu hii inaiweka pabaya tashwira ya Mahakama katika nchi hii sawa na ile kesi ya Mtikila ya mgombea Binafsi iliyomalizwa kihuni. Historia itamhukumu Jaji huyu na kumfanya ajute.Kwa kifungu alichokieleza mleta mada ni kweli hawezi gombea.
Judge amepitiwa maana hakuna ushahidi kuhusu rushwa ambao ulielekezwa katika mwenendndo mzima.
Hivyo the only way nikupeleka maombi Mahakama Kuu ili iweze yenyewe ku rectify error on judgment au vinginevyo kuomba marejeo "Revision" Mahakama ya Rufaa, lakini kama kuna kamchizo kanachezwa utasikia Mahakama haina fungu mara hooo sijui ..... kibao mara 2015.
Mdogo wangu, ni vizuri sana kuwa una roho ya kutaka mabadiliko katika nchi hii. Uko sawa kabisa. Lakini kwa Chadema kukata rufaa inategemea msimamo wa mahakam kama utaisikiza rufaa hiyo tuseme ndani ya siku 60 na kutoa maamuzi. Lakini kama ikiwa inaendeshwa kwa rimoti kama ilivoonekana huenda Chadema ikakosa bara na pwani kwa kuahirishwa kwa rufaa hiyo hadi 2015.Sasa ndugu yangu kwa kuwa ni hukumu ya kisiasa tukubali kumtelekeza LEMA asigombee kwa miaka mitano kwakosa ambalo hajatenda ila CCM na Mafisadi wamemtengenezea kwa kumuamuru Jaji aliweke katika hukumu?
Kwa kifungu alichokieleza mleta mada ni kweli hawezi gombea.