COURTESY
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 2,006
- 706
Makange ndo nini?
makande!!
Makange ndo nini?
makande!!
wewe ni mkare..
hahahahaha umeona eeh,kwanini upate shida kufikiri!!nchi imeshakuwa ya kisanii,same na sisi raia
kumbe tuko wengi?Makange ndo nini?
mkate kuku vipande, andaa vituguu maji, chumvi,mafuta, nazi, nyanya na maji.
chemsha mafuta kidogo yakisha chemka tia nyama yako ikichemka na kubadilika rangi weka vitunguu, karoti kisha nyanya na chumvi. mchanganyiko ukikolea na kuku wako kuiva tia tui la nazi na usifunike. baada ya nusu saa makange yatakakua tayari. hiyo ni kigetto getto. mia
Naomba msaada wandugu.
N mimi naulilza makange ndo nini.