Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
pole mkuuHabari za asubuhi ndugu zangu
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ni kwamba nimekuwa nikipendwa sana na wake za watu. Sielewi suala hili niliite ni Tatizo au bahati ama Mkosi kwa maana wakati mwengine huwa naogopa hata kuwafahamu wake/madem wa washkaji zangu nikihofia wasije wakafall in love with me. Naombeni mnishauri nifanye nini ili niepukane na janga hili cz limesha sababisha mie na wife kugombama zaidi ya mara 7 akinihisi labda nina mahusiano na wamawake wengine cz 98% of my contacts ni wanawake. Nashindwa la kufanya kwa sababu hata kazi ninayofanya clients wangu wengi ni wanawake so huwa tunapeana contacts. Nahitaji msaada wenu jamani Kuokoa ndoa yangu. Nilimruhusu wife kupokea simu yangu pamoja na kusoma messages bt haikusaidia cz zaidi ya mara 3 alikuta messages za mialiko ya Lunch kutoka kwa wanawake tofauti. Kuna mtu nilimuelezea akaniambia huenda ni pepo/jini anahusika bt kwa kuwa akili yangu haipo katika imani hizo nilimsikiliza nikapotezea.
Haelewi hii Lugha yetu mkuu. wala hajui kama kuna kitu kinaitwa JfSele Mkonje mke wako anakuona
Yule jamaa niliemuomba ushauri ndio alikuja na stori za huyo jiniunamjua jini mahaba
Automotive Interior DesignerUnafanya kazi gani?
Vipo wewe hela yako TuUna nyota mbaya, siku hizi vilainishi vimekatazwa... Kua makini ndugu yangu
Mi napenda sana utanisele acha kuwa too social, punguza ushikaji na mademu /wake za watu.. wanawake apart from all things pia wengi tunapenda mtu charming mnaweza ongea chochote bila kujali kitu.. kama ujuavyo mapenzi mengi is too formal hakuna utani, wanaishi kama mtu na bosi wake....... punguza hilo utaniambia
punguza hasa kwa wake na wapenzi wa watu utagonga kiutani utani halafu utafumaniwa ndiyo utapata akili...acha hiyo tabia taniana na mkeo na wanaume wenzioMi napenda sana utani
Hivi vilainishi hivi ni vipi mkuu. Mimi nilikuwa najua ni KY jellyVipo wewe hela yako Tu