Napendwa kweli na wake za watu


Bado kitambo kidogo yakhe lamsingi usisite kuleta mrejesho yakikukuta
 
jitahidi cna kutembea na mafuta mgando au lotion.maan bila hivo rectum itachomoza nje.siku zako zimekaribia.usisahau kuja kutupa mrejesho
 
Mpoto alimwambia mjomba kuhusu mwendokasi kama ameagana na nyoga? Sasasa nawe nakuuliza umeagana na mobitel ?
 
jitahidi cna kutembea na mafuta mgando au lotion.maan bila hivo rectum itachomoza nje.siku zako zimekaribia.usisahau kuja kutupa mrejesho
Unajisifia,umepima kweli mtoa mada. Unavyojishaua kama umevaa pampas vile..! Ntakufolow mapema na ntaleta mrejesho hapa. Na nikisahau utansaidia pia.
 
We ona sifa iko siku utaona cha mtema kuni
 
hongera mkuu!huu ni ujasiri mkubwa kukiri hewani!km wanakuja we gegeda tu wala wasikutishe! ndo starehe.pekee dunian
 
Hahaahah AKINA BABA SWALEHE bana hizo ndo stori zao wakishashiba komoni......em tutokee na utumbo wako,sasa wake za watu wanakupenda,sisi tukusaidie nin,haha,ila jua cha mtu sumu Mzee...wanawake kibao mtaani afu we unawafuata walioolewa shauri ako mbaba!
 
mapipando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkiitwa wanaume wa Dar mnakasirika

sasa ndo nini[emoji23][emoji23]????
 
Sawa mkuu, itakapofika zamu yako ya kuliwa mtandao pendwa usilie lie na kutaka kujiua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…