Sawa mkuu 😁😁tulipima tukamuta wote tupo fresh
dah basi mimi ndio inanipata hali hiyo hata siamini naona kama nachezewa mchezo hiviMadhara ya malezi ya afrika, Trauma tunazozipitia zinafanya mtu unaona mambo ya msingi/muhimu anayohitaji kupata mtu ni jambo la ajabu.
Eg. ukinisifiwa au akipendwa mtu anashangaa sana
Hapana ni jini. Achana nayeKuna huyu dada nimekuwa kwenye mahusiano nae miezi mi 3 sasa ila cha ajabu ni kwamba ananipa hela kuliko kawaida , hii hali kwa kweli inanitisha muda mwingine hata sijamuomba ila unastukia ka laki hako kwenye simu, sasa naomba kuuliza hii ni kawaida au kuna mtego pengine nawekewa labda jambo baya anataka kunifanyia
Kuna muda nawaza pengine huyu si binadamu wa kawaida na date na Jini.
Je kuna yeyote kashakutana na mtu kama huyu?