Usalama wa Raia na mali zao ni jambo la kwanza kuliko kitu chochote. Kwa haya yaliyotokea napendekeza SACP Ahmed Msangi RPC wa Mwanza awe RC wa mkoa wa Pwani nina imani kufanya hivyo kutaimarisha zaidi uwezo wa vyombo vya usalama kudhibiti matendo ya kiharifu.