Kweli kabisa hata sisi watu wa mpji magoe inakuwa ngum sana kwenda bunju, na zaidi ya yote watuwekee lami
Tozo ya uzalendo inakwenda kufanya 'miujiza'. Shaka ondoa.Kweli kabisa hata sisi watu wa mpji magoe inakuwa ngum sana kwenda bunju, na zaidi ya yote watuwekee lami
Hivi ile njia ya kutokea Wazo ilishamalizwa wekewa lami?
Inaizidi route ya Mbezi - Mlandizi?Route ndefu sana iyo sijui unapendekeza nauli iwe bei gan ?
Ishawekwa yote ila sasa hivi wana finalise tuu mitaro na viporo vidogo vidogoHivi ile njia ya kutokea Wazo ilishamalizwa wekewa lami?
Hii route ilianza kipindi fulani, ilitangazwa na LATRA, naona kuna changamoto labda ndiyo maana mabasi hayaonekaniWadau natumaini kuwa ni wazima wa afya.
Kituo cha daladala Mbezi-Luis ni katika vituo vikubwa vinavyounganisha maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam.
Cha kushangaza hakuna daladala za moja kwa moja Mbezi Luis-Bunju, hali inayowapa ugumu wakazi wa Kunduchi, Mbezi Beach, Tegeta na Bunju kuwafanya waunganishe magari hivyo nauli kuwa kubwa na usumbufu kuongezeka.
Napendekeza kuanzishwa kwa route hii mpya.
Hiyo ya mbezi luis bunju via mabwe nimeipenda kwani kutoka bunju kwenda mbezi via mabwe ni jirani sana sema njia haina hudumaInatakiwa iwe
Mbezi luis - Tegeta Nyuki via Madale
Mbezi luis - Kawe via Goba
Mbezi luis - Bunju B via Mabwe pande