Napendekeza ofisi za Uhamiaji kuwe na TAKUKURU pembeni

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,664
32,147
Haya ni mawazo tu naamini serikali katika moja ya sekta ambayo mnapoteza hela nyingi sana Uhamiaji.

Nimekuwa wiki nzima nadili na Uhamiaji Magomeni mjini pale na kule Kurasini

Bila haya watu wanalizwa vijana wakichina wanakamatwa wanaambiwa dola 700-1000 waachiwe kiukweli mambo ya aibu sana.

Wanakamata na wacongo sasa wanasimamisha vijana wawape dola wawaachie sasa zoezi la wahamiaji haramu halina maana kabisa.

Ofisi moja imejaza wahamiaji haramu zaidi ya 20 wanabagaini asietoa kadhaa anafikishwa mahakamani hii halo ni shidaa

Nafikiri ni wakati sasa wakuweka takukuru pembeni ya kila ofisi za uhamiaji watu wanapewa resit feki za malipo hii halo sio ya utawala wa Magufuli

TUJARIBU KUWASIMAMIA ZAIDI
 
Hii ishu imekuwa hatari zaidi serikali yenyewe inabweka ikipewa mchuzi inanywea hata kule tigo/huawei wapo wengi tu. Magufuli ana dhamira lakini watendaji hovyo sana sijui kwanini asiwawajibishe? Huyu waziri wa mambo ya ndani ni kijipu hafanyi kazi kabisa
 
Back
Top Bottom