Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Bahati mbaya majimbo yote ya upinzani ni mijini na ndio kunakokusanywa kodi nyingiIt is true.....
Kama kauli ya 'kibaguzi' ya Ndugai iweze kufanya kazi, ingebidi ajiongeze kidogo kwa kusema majimbo hayo ambayo hayatapata mgawo wa bajeti ya maendeleo kwenye maeneo hayo, wananchi wa majimbo hayo pia hawatapaswa kulipa kodi ya aina yoyote....
Waache tu waone nyubu kama watashindwa kuyahudumia.nyubu bwana hivi serikali ikiyaacha hayo majimbo mnaweza kuyahudumia
haya utaonekana mjinga weweWaache tu waone nyubu kama watashindwa kuyahudumia.
Nyumbu wewe mjinga usiye na uuwezo wa kufikiri. Nasikitika nimebonyeza like badala ya reply kwa sababu nilitaka kuharakia kukujibu nyumbu ni wewe kwa sababu huna akili. Mmekuwa na tabia hii ya kuita wafuasi wa chadema nyumbu, ili hali kiuhalisia nyumbu ni nyinyi ccm msiopenda haki wala busara. Narudia nyumbu ni wewe..nyubu bwana hivi serikali ikiyaacha hayo majimbo mnaweza kuyahudumia
Me hata cjaelewa serekali inanisaidiaje maana kila siku naona wanakuja kuchukua kodi tu kwangu. Halafu nikihitaji huduma za kijamii bado nazilipia sasa ndo nnnyubu bwana hivi serikali ikiyaacha hayo majimbo mnaweza kuyahudumia
tulia binadamu mshirikina na malaya wenu waeambiwa wakipata mimba ndo kwaheriiiNyumbu wewe mjinga usiye na uuwezo wa kufikiri. Nasikitika nimebonyeza like badala ya reply kwa sababu nilitaka kuharakia kukujibu nyumbu ni wewe kwa sababu huna akili. Mmekuwa na tabia hii ya kuita wafuasi wa chadema nyumbu, ili hali kiuhalisia nyumbu ni nyinyi ccm msiopenda haki wala busara. Narudia nyumbu ni wewe..