Napendekeza kama Serikali haipeleki pesa kwa majimbo ya upinzani basi wasitoze kodi maeneo hayo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,568
2,000
Kama Mh. Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania alishauri Serikali isipeleke pesa za maendeleo katika Majimbo ya wale Wabunge waliopiga kura za hapana katika Bajeti ya mwaka 2017/2018 basi tunamuomba kwa kauli hiyo hiyo aliotumia basi pia awaambie Serikali wasiende kukusanya kodi kwenye Majimbo hayo kwa mwaka 2017/2018 simple like that...!!!
 
Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,938
2,000
Tumezeeka kila kitu kwa hiyo ni mfumo wa akili unashida. Kwa sisi tuliojitoa akili ni kawaida kwa maneno kama haya wala msishangae ndo hulka yetu ulioko juu ya sheria
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,418
2,000
It is true.....

Kama kauli ya 'kibaguzi' ya Ndugai iweze kufanya kazi, ingebidi ajiongeze kidogo kwa kusema majimbo hayo ambayo hayatapata mgawo wa bajeti ya maendeleo kwenye maeneo hayo, wananchi wa majimbo hayo pia hawatapaswa kulipa kodi ya aina yoyote....
 
ablood8

Senior Member
Aug 12, 2010
182
225
Bahat
It is true.....

Kama kauli ya 'kibaguzi' ya Ndugai iweze kufanya kazi, ingebidi ajiongeze kidogo kwa kusema majimbo hayo ambayo hayatapata mgawo wa bajeti ya maendeleo kwenye maeneo hayo, wananchi wa majimbo hayo pia hawatapaswa kulipa kodi ya aina yoyote....
Bahati mbaya majimbo yote ya upinzani ni mijini na ndio kunakokusanywa kodi nyingi
 
Mra Eliphas

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
266
250
nyubu bwana hivi serikali ikiyaacha hayo majimbo mnaweza kuyahudumia
Nyumbu wewe mjinga usiye na uuwezo wa kufikiri. Nasikitika nimebonyeza like badala ya reply kwa sababu nilitaka kuharakia kukujibu nyumbu ni wewe kwa sababu huna akili. Mmekuwa na tabia hii ya kuita wafuasi wa chadema nyumbu, ili hali kiuhalisia nyumbu ni nyinyi ccm msiopenda haki wala busara. Narudia nyumbu ni wewe..
 
Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
459
1,000
Nyumbu wewe mjinga usiye na uuwezo wa kufikiri. Nasikitika nimebonyeza like badala ya reply kwa sababu nilitaka kuharakia kukujibu nyumbu ni wewe kwa sababu huna akili. Mmekuwa na tabia hii ya kuita wafuasi wa chadema nyumbu, ili hali kiuhalisia nyumbu ni nyinyi ccm msiopenda haki wala busara. Narudia nyumbu ni wewe..
tulia binadamu mshirikina na malaya wenu waeambiwa wakipata mimba ndo kwaheriii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom