Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,590
Hello JF,
Najua mnalipa bima etc kwenye magari yenu, na wazo la kuwatoa pesa hata kama kidogo mtalipinga lakini nimelileta tudiscuss....
Nilikua nawaza wange introduce charge za kutumia barabara zile zinakuwaga busy sana kushinda barabara nyingine.
Hili litawafanya watafute alternative Road and by doing so, tatizo la msongamano litaisha taratibu Dar es salaam
Hiyo hela itakayopatikana kutokana na hizo charges ijenge ma flyover