mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 923
- 1,272
Pia hata hapa Stockholm Sweden kuna barabara unalipia ila inakuwa hela kidogo sana, pia sio muda wote, ni hasa asubuhi na jioni na mchana labda kidogo .muda mwingine barabara hiyo hiyo inakua free. Hela inayopatikana inatumika kwny mambo ya barabaraWazo zuri.
Japan nimefika na kushuhudia, kuna barabara unalipia electronic road toll.