watu kama hawa si wakuwalaumu saaana, ni matatizo ya ukoo, babu zao walikua watu wasiopenda majukum utakuta alimzalisha binti akakimbia, aliezaliwa sasa, ambae ndo baba wa mtoa mada na wachangiaji dizaini yake,
wamezalisha vimada wa watu au ma gf wakakimbia.
huyo unaemuona yupo na mama ako ni MWANAUME aliechukua jukumu kukulea, baba ako mzaz bado anataman mahawala na ma gf wa watu. si ajab mshagongana kwenye pita pita zenu