Napenda wanawake wenye vitambi

kweli mkuu maana watu wa namna hyo nawaza ntamuanza vipi ,mkiwa sita kwa sita lazima akutoe jasho bora nikomae na hawa hawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitambi anakipata akiwa kwako, labda awe na mwili wahivyo hivyo, unazani wanatoka kwaoni vitambi wanavipatia kwa waume zao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatoka kitambi akiwa kwako utamuacha? Kuna wengine anakuwa mwembamba sababu ya maisha tu muoe uone anavyofutuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiongozana kama kaka na dada au kama si mama na mwanaye
Mzee inaonekana unapenda vibonge Kama type ya Asha boko au Liyama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa baridi hili la Arusha wapi ntawapata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…