October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,997
Kanavutia aisee japo kana mikono kama selfie stick
Akiwa mwembamba wa hivi poa. Ila kama ni ule wembamba wa mifupa mitupu hapana kwa kweliHivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri.
Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu. Sijawai kuwa na manzi asiyekuwa mwembamba, mademu wangu wote wembamba.
Hawa viumbe wembamba ukiwakumbatia wako hot sana wanajoto fulani, sijui kwasababu ngozi yao na mifupa imekaribiana.
Kama yule anaitwa sijui Tunda.Napenda sample hii, mtoto mwembamba ila shape inaonekana, kiuno chembamba ukimbambia mikono unaizungusha, sio uno kubwaaa mikono haikutaniView attachment 1481419
hahhaahhahahaaanaelea kwenye dela
Bby hivi mimi ni mwembamba eti?Au sio
Wewe ni kipipa, a.k.a kimtungi.Bby hivi mimi ni mwembamba eti?
Wewe ni kipipa, a.k.a kimtungi.