Napenda wanawake walionizidi umri

Mkuu, Wadada wanawahi kukua sana kiakili na ni wajanja sana, so ukiwa na mdada aliekuzidi umri, unahitaji uwe extra smart, vinginevyo in long run utadharaulika tu katika maamuzi yako. na kumuongoza nayo itakuwia ngumu maana atakua anakosoa sana mawazo yako (say ya kitoto/kiujana) na itakupelekea kukosa konfo polepole.

Pia wadada wanakua haraka sana kimwili so ukiwa nae aliekupita umri kuna possibility kubwa sana ukubwani ukaja kuwa mtu wa totoz sana sababu atakuwa amezeeka kabla yako na hatakuwa tena na flavours zako.

otherwise ni afya kuwa na mdada uliempita miaka 2 to 5 , other things being equal.
 
we siunachapa tu. we tengeneza CV yako itakusaidia mbeleni. kila kheri(tafuta experience kwanza, ukipata rudi chini chukuwa dogo-dogo)
 

ha mbona rate ndogo sana.
Mi nlifikiri we unamiaka 20 wao wana 40 au 50.
Ukiiingia kwenye 25 kwa 50.uje nitakupa ushauri kwa sasa sina maana ni kawaida sana
 
ah mwana endelea kuwagegeda tuu...hao wanawake mara nyingi wanajua wanaume wanataka nini sio hawa wengine vijana bado wana dreeams za prince charming wakati vijana tunataka kugegeda tuu
 
Bila shaka kijana inaonesha hupendi usumbufu.dogodogo wengi ni wasumbufu.ila kama hujaoa bora uache maana unaweza kuoa mwanamke kama mama yako
 
Mama yako mzazi kakuzidi umri?
Afu google trans generation hiv transmission ujionee malimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…