Napenda wanawake mabonge

Napenda wanawake mabonge

Joined
Sep 9, 2013
Posts
52
Reaction score
28
Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba sana...kusema ukweli siku enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu. Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi Zena...mtoto wa kinyamwezi...black beauty afu bonge nyanya ivi. Uwiiiii....nakwambia...nilichanganikiwa sana mpaka nikakataa shule..nikaahirisha mwaka wa masomo. Tokea siku ile...napenda wanawake wanene mwanzo mwisho. Sipendi wembamba...sina feelings kabisa nao.

Kama wewe ni bonge...nakupenda sana. My kiss for you..Mmmwaah
 
godoro-la-comfy huyo black beuty aliyekuchanganya ndo uliyenaye sa hivi anayependa kukujambia?vipi si ulikuja kuomba ushauri hapa vipi uliutumia?ameacha au bado hasikii na ndo umeamua kutafuta kibonge mwingine?
 
Last edited by a moderator:
Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba sana...kusema ukweli siku enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu. Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi Zena...mtoto wa kinyamwezi...black beauty afu bonge nyanya ivi. Uwiiiii....nakwambia...nilichanganikiwa sana mpaka nikakataa shule..nikaahirisha mwaka wa masomo. Tokea siku ile...napenda wanawake wanene mwanzo mwisho. Sipendi wembamba...sina feelings kabisa nao.

Kweli aisee, mwembamba mimi mmmmm hapana! SEX IS NOT GOOD IN BONES
 
Mimi, mwembamba big NO!.
nguruwe(MWEMBMBA) pita sina mkuki mie, wewe haramu kwangu............!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
aya bana hilo ni chaguo lako na hisia zako ambazo zimeanzia kwa mlimbwende Zena
 
Back
Top Bottom