Napenda wanaume wa kiarabu

vigezo tajwa hapo juu vyote nnavyo!! je uko tyar nikuoe mtoto mzuri?
 
Nipeleke kwa ustadhi swalehe nipate kismati cha kudondokewa na USA baby

Sawa, lakini fuata masharti yafuatayo.

1] Njoo umevaa deraa
2] Usije umevaa pichu
3] Sidiria rukhsa
4] Uje umesuka mabutu
5] Uwe unanukia udi
6] Uvae na sun gogos
 
Sawa, lakini fuata masharti yafuatayo.

1] Njoo umevaa deraa
2] Usije umevaa pichu
3] Sidiria rukhsa
4] Uje umesuka mabutu
5] Uwe unanukia udi
6] Uvae na sun gogos
jamani ustadh, kweli nisivae p.chu kuna dawa unataka kunisokomezea?
 
Mbona umekaa kimya?????
 
Au msg zimekufanya uwachukie hao waarabu na wapemba?
 
Dunia ya sasa ni afadhali ya Sodoma na Gomola,maana watu wamekosa aibu kabisa kutangaza kuwa wanatumia njia zote mbili yaani ya lami na ya tope.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…