Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Lol una tafuta stress isokua ya lazima, ivi huyo kijana mdogo hasa mnaongea nini cha mana? mwenyezi mungu asinijaalie hata kwenye ndoto
wasinijie hawa waramba midomo, tulia tuu na mzee mwenzio lol mbona 40yrs sio uzee hapo ndio unaweza kujifaragua na age mate wako.
 
Nipo kwenye challenge ya kuacha zinaa na kuacha nyeto nahitaji niweze kucontrol seman fluid zangu ningekua sijaanza hii challenge ningekwambia uniunganishe na huyo maza
Naomba uniambie hiyo challenge ikiisha inaleta faida gani nishauri nami wadogo zangu wa kiume
 
Naomba uniambie hiyo challenge ikiisha inaleta faida gani nishauri nami wadogo zangu wa kiume
Kuacha nyeto inasaidia vitu vingi Sana hata kwa badae ukiweza kuowa utaweza kukidhi mahtaji yake ya kimwili ya mke wako .ila ukiwa mchovu unaweza ndio ukapata hata demu lakn usweze kumridhisha utakua sio uanaume huo.utadharaulika ndani na mbele ya jamii utaonekana huna nguvu hata kazi hutoweza kufanya, alaf hata ukisoma historia za kina Isaac Newtown wale walikuaga siyo watu wa madem yan ukiweza kuncontrol semen fluid unakua na akili nyingi na busara hata katka kupambanua changamoto za kimaisha
 
Lol una tafuta stress isokua ya lazima, ivi huyo kijana mdogo hasa mnaongea nini cha mana? mwenyezi mungu asinijaalie hata kwenye ndoto
wasinijie hawa waramba midomo, tulia tuu na mzee mwenzio lol mbona 40yrs sio uzee hapo ndio unaweza kujifaragua na age mate wako.
Anataka mechi Kali kama ya Simba na Yanga
 
Nakubakiana na huyo Bibi wa 40 kama Mimi, age mate wako, nakumbuka wakati wa 26-35 nilikuwa napiga goli 13 la kumi na nne likatoka damu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom