Napenda sana upweke

Mwamba Mimi mwenyewe nilikuwa naishi kama wewe lakini nilijikuta nabadilika automatically baada ya kuona namiss vingi..
 
Asee wewe unaweza kuwa copy yangu 80% mimi sina tabia ya kuamini mtu kabisa hata, mpaka nipate ndio naamini nimepata./Not possible till get done

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba Mimi mwenyewe nilikuwa naishi kama wewe lakini nilijikuta nabadilika automatically baada ya kuona namiss vingi..
Vitu gani mkuu. Mimi naona life style hii ni ulinzi tosha wa maisha yani ata ukipanda Boda Leo kesho unapanda ingine muda mwingine nashukia karibu na home natembea kwa mguu tu ivo yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeh unaenjoy
 
Ukipajua kwangu ni sawa lakini siwezi kukupeleka kwangu, na ukija home sio rahisi kukaribishwa ndani kama hufahamiki utaishia uani. Sina urafiki na mtu vs life style yangu tutafanya kila kitu but about me and my family belongs to me
In short wewe Ni mchoyo na mbinafsi!! Zipo tabia ambazo hata ukiwa nazo inakua c tatzo sana kama tukokuongea sana sina shda na hlo, mambo yako meng kua secure hlo Galina shda lakn hili la kutokutaka hata marafk zako wafaham kwako?? Hlo Ni mbaya zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…