Napenda sana shule, nifanyeje?

Napenda sana shule, nifanyeje?

Alexander McQueen

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
186
Reaction score
41
Ndugu wana jf natumaini ni wazima wa afya mm nimehitimu kidato cha nne mwaka 2015 katika shule moja ya kata iliyopo sana huko mara Tz na nilipata matokeo yafuatayo DIV III 25 CIVICS D GEOGRAPHY D PHYSICS F BIOLOGY D HISTORY D ENGLISH C KISWAHILI C CHEMISTRY C B/MATHS D kutokana na matokeo hayo nilijijua mapema sitopata selection nikaaply nacte diploma in primary education kama guidebook ilivyokuwa inaonesha baada ya nacte kutangaza selection first round nilikuta cjachaguliwa ikanibidi kuedit na kuaply tena ila baada ya siku kadhaa nilikuta nimeselectiwa ualimu lakini baada ya siku kama mbili nilikuta tena nipo kwenye system hicho kitendo kilinipa wasiwasi sana wa selection hata awamu ya pili kutokana na form six kutuvamia na siko tayari kupoteza mwaka home nilipewa ushairi niende private advance kwani niliipenda lakini kipato cha anaenisomesha hakikidhi mahitaji nomewaza wakitoa selection simo nafikiria kurudia f3 mwaka huu kwani najua nipo vzr bado naombeni ushauri wenu wa mawazo kama wasomi please umr ni miaka 19 asanteni
 
Risit F4 halafu Tuletee Mrejesho!

Ila Ushauri Wangu Dogo Ipe Kipaombele Advance Kwasababu Mfumo Wa Elimu umebadilika Na Waliopigika F6 wamevamia Diploma!! So, itakuwia Vigumu Baadae Kuja Kuchukua Degeree Kwasababu Wewe Waweza Kuwa Na Diploma ya GPA ya 4.6 lakini umemaliza F4, lakini Dogo Mwengine Ana Diploma ya GPA ya 3.8 ila Kaishia F6 na Ana Pricipal D E E !
Sasa Hapo Mkuu Competition Ya Kuingia Chuo Itakutupa Kuleeee!!

Advance ni Muhimu bro!!
 
Fanya mpango wa private 2 maana advance ni muhimu kupata G.P.A ya 3.5 sio ndogo au diploma nenda ya afya
 
Ndugu wana jf natumaini ni wazima wa afya mm nimehitimu kidato cha nne mwaka 2015 katika shule moja ya kata iliyopo sana huko mara Tz na nilipata matokeo yafuatayo DIV III 25 CIVICS D GEOGRAPHY D PHYSICS F BIOLOGY D HISTORY D ENGLISH C KISWAHILI C CHEMISTRY C B/MATHS D
Umeangalia iwapo unafuzu kujiunga na foundation course ya Open University? Unaweza ukatumia njia hii.
 
Umeangalia iwapo unafuzu kujiunga na foundation course ya Open University? Unaweza ukatumia njia hii.
Hivi kwani bado ipo hiyo kozi..maana nilisikia mama ndalichako kaibutua kwenye vyuo vyote.
 
Hivi kwani bado ipo hiyo kozi..maana nilisikia mama ndalichako kaibutua kwenye vyuo vyote.
Maneno ya kusikia toka vyanzo vinavyodhaniwa vya kuaminika yanasema kozi hiyo bado ipo, japo kukiwa na mabadiliko kiasi.
 
Back
Top Bottom